- 7,526 viewsDuration: 18sTazama ndani ya behewa la treni lililolala ubavuni baada ya treni hiyo kuacha njia nchini Uingereza. Msimamizi wa treni amepongezwa kwa utulivu wake baada ya treni iliyokuwa ikitoka London Victoria kuelekea Eastbourne kuacha njia huko East Sussex. Takriban watu 150 walikuwa ndani ya treni hiyo, huku 20 wakijeruhiwa. Katika video iliyorekodiwa na abiria, msimamizi anawasihi abiria wabaki ndani ya behewa kwa usalama na wasitoke kwenye treni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika. - - #bbcswahili #treni #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw