Skip to main content
Skip to main content

Tazama waandamanaji wakiwarushia polisi fataki nchini Albania

  • | BBC Swahili
    6,214 views
    Duration: 28s
    Maandamano yanaendelea kwa zaidi ya wiki moja, polisi nchini Albania wamekabiliana na waandamanaji waliokuwa wakiwarushia fataki. Polisi walijibu kwa kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya. Waandamanaji hao, wengi wao wakiwa wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu, wanamtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu. Rama amekuwa madarakani kwa miaka 13 na ni miongoni mwa wanasiasa wenye ushawishi mkubwa nchini Albania tangu mwanzoni mwa karne hii. #bbcswahili #albania #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw