Teknolojia ya Akili Mnemba (AI), inadumaza ubunifu katika muziki’ - John Kimambo

  • | BBC Swahili
    276 views
    Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inakuwa kwa kasi duniani huku ikianza kukita mizizi katika uzalishaji wa muziki katika nchi za Magharibi. Kupitia teknolojia ya AI mtu anaweza kuomba atungiwe mashairi kuhusiana na mada husika na kuiamrisha kompyuta kusuka mdundo na kukamilisha wimbo bila Msanii yoyote kuhusika. Mwandishi wa BBC @frankmavura amezungumza na John Kimambo, Mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania na kuandaa taarifa hii. Muziki: @kimambobeats @watufresh #bbcswahili #tanzania #akilibandia