- 4,152 viewsDuration: 23sTetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7 limepiga eneo la milimani nchini Tibet na kuua watu wasiopungua 16, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali ya China. Mamlaka zimetangaza hali ya dharura na kutuma timu za uokoaji katika eneo hilo, ambako watu 54 wamejeruhiwa #bbcswahili #tibet #tetemekolaardhi #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw