Tiba mpya ya mifupa na viungo isiyotumia dawa

  • | Citizen TV
    49 views

    Ugonjwa wa mifupa na viungo unawahangaisha watu wengi humu nchini ila madaktari wa ugonjwa huo wasiotumia dawa ni wachache mno. Nchini kenya kuna madaktari saba pekee lakini sasa huenda idadi hiyo ikaongezeka kwani chuo kikuu cha Eldoret kwa ushikiano na chuo kikuu cha Life university kutoka Marekani vimeanzisha rasmi mafunzo ya taaluma hiyo chuoni humo