Skip to main content
Skip to main content

Timu ya riadha ya Kenya yawasili nyumbani baada ya kuongoza duniani mjini Copenhagen

  • | Citizen TV
    145 views
    Timu ya Kenya kwenye mashindano ya dunia ya riadha ya mbio za barabarani iliwasili nyumbani Jumanne asubuhi kutoka Copenhagen, Denmark, ambapo Kenya ilimaliza kileleni mwa jedwali katika mashindano hayo.