Skip to main content
Skip to main content

Tob Cohen alimuondoa mkewe kwenye wosia, mahakama yaelezwa

  • | Citizen TV
    3,203 views
    Duration: 3:02
    Aliyekuwa wakili wa marehemu Tob Cohen leo amefichua mahakamani uamuzi aliofanya mfanyabiashara huyo wa kumwondoa mkewe kama mrithi wa mali yake. Wakili huyo, Geoffrey Chege Kirundi, akitoa ushahidi kwa siku ya pili, ameiambia mahakama kwamba mteja wake Tob Cohen alimwelekeza kufanya marekebisho ya wosia wake na kumwondoa Sarah Wairimu na badala yake kumweka dadake na mwanawe kama warithi wa mali yake. Ben Kirui alikuwa mahakamani na hii hapa taarifa yake.