Skip to main content
Skip to main content

Trump: Makubaliano ya kusitisha mapigano na Iran yamefutiliwa mbali

  • | BBC Swahili
    7,723 views
    Duration: 57s
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano kati yao na Iran yamefutiliwa mbali na kuongezea kuwa mazungumzo na Iran ni “kupoteza muda.” Trump ameyasema hayo baada ya Iran na Marekani kushambuliana, huku pande zote mbili zikilaumiana kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano #bbcswahili #marekani #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw