- 3,290 viewsDuration: 2:20Iwapo hatua yake itathibitishwa na Kitabu cha kumbu kumbu za dunia cha Guiness, Truphena Muthoni kutoka Nyeri atakuwa mtu wa kwanza ulimwenguni kuukumbatia mti kwa saa 72 bila kupumzika. Muthoni akitimiza lengo lake hili mwendo wa saa sita unusu mbele ya halaiki iliyofuatilia tukio hili katika ofisi za gavana huko Nyeri. Truphena akichukua hatua hii kwa mapenzi yake ya dhati kwa utunzaji wa mazingira