- 33,173 viewsDuration: 5:13Mwendo wa saa sita na dakika ishirini na tano, Truphena Muthoni atakuwa ameweka rekodi mpya ya mtu wa pekee duniani kukumbatia mti kwa saa 72 bila kupumzika. Truphena, ambaye ameukumbatia mti ulioko nje ya afisi za gavana wa kaunti ya Nyeri anatarajiwa kuafikia lengo hilo hii leo katika siku ya tatu tangu kuanza kwa shughuli hiyo.