- 459 viewsDuration: 2:29Haya yakijiri, Tume ya kuajiri walimu nchini TSC sasa inasema walimu wote nchini wako tayari kwa mpito wa elimu kwa wanafunzi wanaoingia gredi ya kumi. TSC ikiendeleza masomo kwa wanafunzi watakaotoa mafunzo kwa wenzao kuhusu mpito huu wa elimu kuingia sekondari ya juu