Skip to main content
Skip to main content

TSC yatetea uteuzi wa Cheptumo Ayabei kuwa katibu mkuu

  • | Citizen TV
    412 views
    Tume ya Walimu, TSC, imetetea uamuzi wake wa kumteua Cheptumo Ayabei kuwa Afisa Mkuu na Katibu wa tume hiyo, ikisema kuwa mchakato wa kumsaili, kumwajiri na hatimaye kumteua ulifanyika kwa uwazi na kwa kuzingatia uzoefu wake. Tume hiyo inasema Cheptumo aliibuka mshindi kati ya waliotafuta kujaza nafasi hiyo kwenye msasa uliokamilika Jumatatu. Brenda Wanga anaarifu.