Skip to main content
Skip to main content

TSC yawataka walimu kukumbatia bima ya SHA

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 2:04
    Huku walimu wakihamishwa kutoka kwa bima ya afya ya Minet hadi ya SHA, katika Kaunti ya Kilifi afisa wa usajili na uzingatiaji wa kanuni katika mamlaka hiyo amezuru hospitali kadhaa kutathmini huduma za Afya kwa walimu.