- 12,950 viewsDuration: 2:15Je, tufaha linastahili sifa ya kuwa miongoni mwa matunda yenye manufaa makubwa kiafya? Licha ya kutokuwa na kiwango kikubwa cha vitamini C ama madini ya chuma kama matunda mengine ila lina nyuzinyuzi na viambato asilia vinavyoweza kusaidia kulinda afya ya mwili. Lakini ni nini hasa kinacholifanya tunda hili kuwa la kipekee na je, msemo kwamba tufaha moja kwa siku humweka daktari mbali una ukweli wa kisayansi? Mwandishi wa BBC @beldeenwaliaula anakusimulia zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw