Skip to main content
Skip to main content

Tuiombee Tanzania kumekuwa na maafa -Papa Leo

  • | BBC Swahili
    6,970 views
    Duration: 1:51
    Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amewataka waumini wakatoliki kwote duniani kuiombea nchi ya Tanzania kufuatia “vurugu zilizotibuka baada ya uchaguzi mkuu kusababisha maafa mengi” - Vyanzo vya kidiplomasia vimeiambia BBC kuwa kuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa angalau watu 500 wamepoteza maisha, ingawa Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Thabit Kombo, amesisitiza kuwa takwimu hizo hazijathibitishwa rasmi na serikali. - Tanzania inasubiri kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan kuanza muhula wake wa pili baada ya kutangazwa mshindi wa kura za urais na tume ya uchaguzi INEC. - - #maandamano #uchaguzi2025 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kanisakatoliki #bbcswahiliSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw