- 11,626 viewsDuration: 3:11Waziri wa zamani , Raphael Tuju sasa anasema amekuwa akijaribu mara kwa mara kulipa mkopo wa takriban shillingi billion 2 ambao umekuwa kiini cha mzozo wa muda mrefu kati yake na benki ya East African Development. Hata hivyo, Tuju anadai kuwa benki hiyo ina nia ya kuchukua mali yake zenye thamani kubwa badala ya kukubali mpango wake wa kulipa deni hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya