Skip to main content
Skip to main content

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imewahakikishia Wakenya kuwa imejipanga vikamilifu

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 1:55
    Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imewahakikishia Wakenya kuwa imejipanga vikamilifu kuhakikisha shughuli ya usajili wa wapiga kura wapya inafanyika bila tashwishi na kuwafikia wakenya wote mashinani.