- 615 viewsDuration: 2:06Tume ya kutetea haki za kibinadamu nchini imetishia kuwasilisha kesi dhidi ya kampuni inayohusishwa na uchimbaji wa madini katika eneo la Ramula kaunti ya Siaya. Tume ikiongoza masharika mengine ya kutetea haki kulaumu mauaji ya punde zaidi ya watu wawili katika eneo hilo