Skip to main content
Skip to main content

'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani'

  • | BBC Swahili
    27,109 views
    Duration: 50s
    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amesema matumizi ya nguvu yanaweza kuleta utulivu lakini hayawezi kujenga amani ya kudumu, akitaka nchi hiyo irejee kwenye misingi ya usawa, uadilifu, uwajibikaji na uzalendo. #bbcswahili #jajiwrioba #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw