Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela

  • | BBC Swahili
    148,037 views
    Duration: 1:56
    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu kifungo cha miaka minne gerezani baada ya kumkuta na hatia ya kosa la uchochezi. @martha_saranga anaelezea kwa kina #bbcswahili #tanzania #tundulissu #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw