Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu: Hatia au kuachiwa huru?

  • | BBC Swahili
    123,278 views
    Duration: 2:46
    Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa Mahakama Kuu, inayotarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyoyakanusha, akisisitiza kuwa alikuwa akipigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na demokrasia nchini. Hukumu hii inayosubiriwa kwa hamu inaweza kuwa na athari kuhusu haki za kisiasa, demokrasia na utawala wa sheria nchini. #bbcswahili #TunduLissu #CHADEMA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw