Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu: Je, mapambano yake yamefika mbali kupita kiasi?

  • | BBC Swahili
    109,409 views
    Duration: 22:38
    BBC Africa Eye inamwangazia kiongozi wa upinzani wa Tanzania aliyeko kizuizini, Tundu Lissu, ambaye sasa anakabiliwa na changamoto kubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa. Baada ya kutumia zaidi ya mwaka mmoja kizuizini kwa mashtaka ya uhaini, Lissu hapiganii tu uhuru wake bali huenda pia maisha yake. Akipatikana na hatia, anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifo. BBC Africa Eye inachunguza maisha, mapambano na urithi wa kisiasa wa mmoja wa viongozi mashuhuri zaidi wa upinzani nchini Tanzania, na kuangazia maana ya kesi yake kwa mustakabali wa demokrasia nchini humo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw