Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu: Je ni sawa kesi ya uhaini kuhukumiwa uchochezi?

  • | BBC Swahili
    93,768 views
    Duration: 2:02
    Mahakama Kuu ya Tanzania imemhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Lissu awali alishatkiwa kwa kosa la uhaini, hata hivyo hii leo hakukutwa na hatia ya kosa hilo. Peter Mwangangi amezungumza na Dkt. Anna Henga na mchambuzi Nicodemus Minde kuhusu hukumu hiyo na athari zake. #bbcswahili #TunduLissu #CHADEMA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw