- 2,158 viewsDuration: 2:03Huku macho ya waafrika mashariki yakiielekea #Morocco kwenye #afcon2025 kusubiri mechi ya kufa kupona kati ya Taifa Stars ya #Tanzania na Cranes ya #Uganda, fundi wa mkeka, Yves Bucanna amekuandalia Mtazamo wake wa mechi za soka la ligi kuu ya England EPL wikiendi hii baada ya sikukuu ya krismasi. . Na mkeka ukijipa tuandikie kwenye comments - - - 📸:Getty #bbcswahili #soka #epl #kandanda #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw