Ubomoaji katika ardhi ya zaidi ya ekari 4,200 wakamilika

  • | K24 Video
    357 views

    Awamu ya kwanza ya ubomoaji katika ardhi ya zaidi ya ekari 4,200 inayomilikiwa na kampuni ya Portland iliyoko mavoko huko athi river imekamilika. Inaarifiwa ubomoaji utaingia awamu ya pili inayolenga maskwota wanaoishi kwenye vipande zaidi vya kampuni hiyo. Wanaotarajiwa kusalimika na ubomoaji huo ni wale wanaoishi kwenye ardhi ya ekari mbili ambao wanatarajiwa kuuziwa baada ya ilani ya siku 14 kutolewa.