Uchafuzi wa mzingira Ziwa Victoria

  • | BBC Swahili
    413 views
    Watalaam wa mazingira wanaonya kuwa shughuli za kibinadamu hususan kilimo zinazoendelea pembezoni mwa Ziwa Victoria zinaweka hatarini mazalia ya Samaki ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama kwaajili ya matumizi ya kibinadamu. Mwandishi wa BBC, @lasteck2023 alitembelea mwambao wa ziwa hilo na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #ziwavictoria