Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi Marekani: Democrats washerehekea ushindi mkubwa. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    81,880 views
    Duration: 28:05
    Chama cha Democrats kimepata udhibiti wa Baraza la Seneti na Baraza la Wawakilishi katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, na hivyo kukiwezesha kudhibiti Bunge kwa kipindi kilichosalia cha urais wa Donald Trump. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw