Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi Mdogo Ol Kalou I UDA yakanusha miradi ya maendeleo ina msukumo wa kisiasa

  • | KBC Video
    10,776 views
    Duration: 3:07
    Baadhi ya viongozi wanaoegemea chama cha UDA wamepuuzilia mbali madai ya upinzani kwamba miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa sasa katika eneo la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua, inalenga kuwavutia wapiga kura kabla ya uchaguzi mdogo ujao. Viongozi hao wamesema uwepo wa serikali katika eneo bunge hilo, unalenga kuhakikisha ukamilishaji wa miradi iliyoanzishwa na aliyekuwa mbunge wa eneo hilo marehemu David Njuguna Kiaraho na kuhakikisha ukuaji wa kijamii na kiuchumi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive