- 27,594 viewsDuration: 1:40Uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, Novemba 3, utaamua chama kitakachodhibiti Bunge la Congress, linaloundwa na Bunge la Wawakilishi na Seneti. Matokeo yake yanaweza kuongeza au kupunguza nguvu za kisiasa za Rais Donald Trump. Iwapo chama cha Democratic kitashinda udhibiti wa moja au yote mawili ya mabunge hayo, kitapata nafasi kubwa zaidi ya kupinga sera zake na kuchunguza utawala wake. Uchaguzi huo pia utakuwa kipimo cha namna Wamarekani wanavyoridhishwa na uongozi wa Trump, huku uchumi, gharama ya maisha na uhamiaji vikiwa miongoni mwa masuala muhimu yatakayoathiri matokeo. Mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula na taarifa zaidi 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #uchaguzimarekani #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw