Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi wa kriketi kufanyika Aprili 19

  • | Citizen TV
    171 views
    Duration: 1:16
    Afisa mkuu mtendaji wa cricket Kenya, Ronald Bukusi, amelihakikishia baraza la kimataifa la kriketi kwamba uchaguzi wa aprili 19 utafanyika kama ulivyopangwa. Bukusi akieleza matumaini kuwa uongozi mpya utarejesha shirikisho hilo katika hali bora. Amezungumza hayo baada ya kurejea kutoka kongamano la icc la afrika nchini namibia, wakati jopo huru la uchaguzi likiwa limetangaza orodha ya mwisho ya wawaniaji wa uchaguzi huo wa kitaifa.