27 Nov 2025 1:12 pm | Citizen TV 2,106 views Duration: 3:41 Shughuli ya upigajikura inaendelea vema katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi ambapo wakazi 80,128 wanapigakura kumchagua mbunge mpya baada ya mahakama kubatilisha uchaguzi wa Harrison Kombe.