Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi wa mbunge Malava

  • | Citizen TV
    6,550 views
    Duration: 3:31
    Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la malava kaunti ya Kakamega. Wakazi wanapiga kura katika vituo 198 vya kupigia kura kwenye kinyang'anyiro ambacho kimewavutia wagombea tisa. Melita oletenges anafuatilia matukio Malava na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.