- 1,945 viewsDuration: 4:16Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inaendelea kusambaza vifaa vya kupigia kura katika vituo mbalimbali kuliko na uchaguzi mdogo. wabunge sita , seneta mmoja na wawakilishi wadi 17 watachaguliwa kesho. maripota wetu wako katika maeneo yatakayokuwa na uchaguzi mdogo wakifuatilia matukio hayo. Tutaungana nao mubashara watupashe yanayojiri maeneo walipo tukianza na Emmanuel Too anayeangazia uchaguzi mdogo wa eneobunge la mbeere north kaunti ya Embu.