Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi wa mbunge Mbeere North

  • | Citizen TV
    17,169 views
    Duration: 5:32
    Shughuli ya upigajikura inaendelea katika eneobunge la mbeere north huku hali ya usalama ikiimarishwa vilivyo. Kufikia sasa hakuna visa vyovyote vilivyoripotiwa huku baadhi ya vigogo wa kisiasa wakiwa tayari wamepiga kura.