14 Oct 2025 10:47 am | Citizen TV 253 views Duration: 1:08 Viongozi wa Chama Cha UDA kaunti ya Narok wameendelea kuwahimiza wakazi kudumisha amani wakati wa chaguzi mdogo wa kiti cha uwakilishi wadi cha Narok mjini.