- 28,956 viewsDuration: 28:10Uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, watarajiwa kuanza hapo kesho jumanne huku mamilioni ya wapiga kura kote nchini humo wakiamua usawa wa madaraka katika Bunge la Marekani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw