Skip to main content
Skip to main content

Uchu wa dhahabu Dabel: Jamii ya Sekuye yasema inaonewa na kulengwa na wawekezaji wanaotaka ardhi yao

  • | NTV Video
    372 views
    Duration: 3:59
    Jamii ya Sekuye inayoishi katika eneo la Dabel huko Moyale kaunti ya Marsabit imepaza kilio chake cha kuonewa na kulengwa na wawekezaji wanaofika katika ardhi yao ya zaidi ya ekari 5,000 kwa lengo la kuwafurusha ili wachimbe na kuuza dhahabu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya