Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa kifo cha Daktari Obwaka waendelea, mashahidi wahojiwa

  • | Citizen TV
    1,629 views
    Duration: 2:26
    Maafisa wa upelelezi wamewa hoji watu kadhaa waliotangamana na Daktari Job Obwaka saa chache kabla ya kifo chake. Maafisa hao walikagua gari la marehemu daktari huyo na kuzuru eneo ambako aliegesha gari lake kabla ya kuelekea kwenye nyumba aliko zimia.