Uchunguzi wafichua jinsi msichana aliuawa na mwili kutupwa kutoka ghorofa ya tatu, Langata Nairobi.

  • | K24 Video
    15,684 views

    Maafisa wa polisi wanamzuilia afisa wa GSU kwa mauaji ya mwanamke wa umri wa miaka 28 mtaani langata jijini Nairobi. Inaarifiwa afisa huyo wa polisi alimuua mwanamke huyo na kuurusha mwili wake kutoka ghorofani ili kuwachanganya polisi kuwa mwendazake alijiua. Mwanamke huyo ni wa sita kuuawa kikatili katika kaunti ya Nairobi chini ya muda wa wiki mbili.