- 2,464 viewsDuration: 3:18Baadhi ya viongozi wa UDA wamepuzilia mbali madai ya upinzani kwamba miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo bunge la Ol Kalau, huko Nyandarua inalenga kuwashawishi wapiga kura kabla ya uchaguzi mdogo ujao wa eneo hilo.Wakiongozwa na mwakilishi wa kike wa kaunti hiyo Faith Wairimu Gitau,viongozi hao walisema lengo lao ni kuhakikisha miradi iliyozinduliwa na aliyekuwa mbunge wa sehemu hiyo marehemu David Njuguna Kiaraho inakamilishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News