Skip to main content
Skip to main content

Udhibiti wa HIV Samburu

  • | Citizen TV
    515 views
    Duration: 3:14
    Shirika la kudhibiti maambukizi ya virusi vya HIV na magonjwa mengine nchini NSDCC,limedhibtisha kuwa asilimia arubaini ya maambukizi mapya ya HIV katika kaunti ya samburu ni vijana wenye umri wa kati ya miaka kumi na tano na ishirini na nne. Shirika hilo sasa limeanza kutumia michezo kutoa hamasisho kwa vijana kuhusu jinsi ya kujikinga.