Skip to main content
Skip to main content

Ufugaji wa kuku aina ya kuroiler Rongai kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    481 views
    Duration: 2:56
    Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana bado ni changamoto kubwa nchini, lakini baadhi ya vijana wa humu nchini wageukia kilimo ili kujitengenezea fursa zao. Katika eneo la Rongai, Kaunti ya Kajiado, mkulima mmoja wa kizazi cha Gen Z aonyesha kuwa ufugaji wa kuku unaweza kuwa wa faida kubwa. Hii ni kutokana na ufugaji wa aina moja ya kuku wanaokua haraka na kuzalisha zaidi kuliko kuku wa kawaida wa kienyeji.