Skip to main content
Skip to main content

Ufukuaji wa miili 14 Kericho waanza

  • | Citizen TV
    3,184 views
    Duration: 2:37
    Wataalamu wa upelelezi wa jinai na wapasuaji wa maiti wameanza kufukua miili kutoka kwenye kaburi la pamoja linaloshukiwa kuwa na miili kumi na minne. Mfasuaji wa maiti wa serikali Dkt. Richard Njoroge anafanyia Kila mwili unaofukuliwa uchunguzi papo hapo ili kubaini chanzo cha kifo. Maafisa wa uchunguzi wa mauaji kutoka Idara ya DCI wanasimamia zoezi hilo la ufukuaji katika makaburi ya umma ya Makaburini, kaunti ya kericho.