Ugonjwa wa mtoto wa jicho waathiri wakazi wengi wa Samburu

  • | Citizen TV
    204 views

    Tatizo la mtoto jicho huwatatiza wafugaji wengi mashinani, katika Kaunti ya Samburu. Wataalamu wa afya wakiwarai wafugaji kujitokeza na kutafuta matibabu mapema wasipoteze uwezo wa kuona.