Ugonjwa ya Selimundu

  • | Citizen TV
    84 views

    Licha ya wizara ya fedha kuongezewa mgao kwenye bajeti ya mwaka huu, magonjwa sugu kama vile selimundu bado yamesahaulika na kuacha maelfu ya familia katika njia panda. Katika kaunti za ukanda wa Magharibi, familia nyingi bado zinahangaika kupata dawa ya kupunguza makali ya ugonjwa huo