- 6,767 viewsDuration: 3:20Uhaba wa mafuta umeripotiwa katika vituo mbalimbali vya kuuza mafuta humu nchini huku waendeshaji magari wakionekana kuwa katika hali ya ati ati. Hali hiyo imeibua masuali kuhusu iwapo Kuna Uhaba wa Mafuta Au Wauzaji wa Mafuta wanaficha na kushikilia bidhaa hiyo. Wahudumu wa sekta ya uchukuzi na wamiliki wa magari wanahofia kuw ahali hiyo huenda ikasababisha bei ya mafuta kupanda na nauli kuongezeka