- 129 viewsDuration: 1:29Wito unazidi kutolewa kwa serikali kukarabati mabomba ya kusambaza maji kutoka chemichemi za Nolturesha huko Loitokitok kaunti ya Kajiado ili kuongeza usambazaji na kutatua changamoto ya uhaba wa bidhaa hiyo katika eneo la Loitokitok na Viunga vyake. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya