Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa maziwa waendelea, bei zapanda

  • | Citizen TV
    3,486 views
    Duration: 3:05
    Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, uhaba wa maziwa umeendelea kushuhudiwa nchini, huku serikali ikikosa suluhu mwafaka ya kukabiliana na hali hiyo. Uhaba huo sasa umechangia kupanda kwa bei ya maziwa, huku maduka makuu yakiweka kikomo cha kiwango cha maziwa ambacho kila mteja anaruhusiwa kununua. Hali hii imeibua lawama kutoka kwa wakulima, wanaoilaumu serikali kwa kuchangia kuongezeka kwa bei ya chakula cha mifugo.