Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa nyama nchini

  • | Citizen TV
    19,067 views
    Duration: 3:12
    Muungano wa wauza nyama katika eneo la North Rift umeripoti uhaba wa mifugo wa nyama, hali inayochangiwa na kupungua kwa idadi ya mifugo nchini. Wameitaka Wizara ya Kilimo kuweka mikakati madhubuti ya uzalishaji wa mifugo.