- 113 viewsDuration: 1:25Wakazi wa kaunti ya Lamu wametoa wito kwa serikali ya kaunti kutatua kwa dharura mizozo inayotokota kati ya wakulima na jamii za wafugaji. Wakazi waliohudhuria kikao cha uhamashisho kuhusu amani walisema swintofahamu hiyo imesababishwa na kuingizwa kwa mifugo katika maeneo yao kutoka kaunti jirani, jambo linaloongeza ushindani wa malisho na maji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive